Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MBINU YA KUTHIBITI FEDHA ZAKO KUPOTEZA KIRAHISI


Hakuna jambo linachosha na kuumiza kama kupata fedha, tena fedha nyingi lakini zinakuwa zinaisha bila kuona zimefanya kazi gani hasa, yaani fedha zinakuwa kama zinapita njia kwako tu. Inaumiza sana.

Ndivyo ilivyokuwa na kwangu pia, nilikuwa nafanya kazi na kupokea mshahara kila mwisho wa mwezi, lakini ukiangalia maisha yalivyo, hayana tofauti sana na mtu asiye na kazi!.

Hadi mwenyewe nikawa nashangaa kwanini hali hiyo, kila ambapo nilikuwa najiuliza ni wapi fedha zangu zinaenda, nilikuwa sipati jibu kabisa, hadi ikafikia hatua nikahisi nyumba ninayoishi ina majini ambayo yanachukua fedha zangu, hivyo nikaamua kuhama ila hali iliendelea kuwa ile ile.

Unakuta ukishapata fedha tu hivi, wakati unafikiria ufanye kipi kama sehemu ya maendeleo yako ya sasa na hata baadaye, ghafla changamoto zinaanza; mara kuumwa, mara nyumbani kuna shida zinazohitaji fedha, mara rafiki zangu wana shida ambazo unatakiwa kuwasadia na mengine mengi.

Ukianza kutatua changamoto hizo tu, unajikuta fedha zako zote zimeisha, hivyo unakuwa huo ndio mtindo wako wa maisha hadi mwaka unaisha unajikuta hakuna chochote za maana ulichofanya mwaka mzima.

Basi nilichoka hali hiyo, ndipo nikaanza kutafuta namna ya kuweza kuitatua, ndipo nikakutana na AfricanDoctors ambao naweza kusema ndio wamekuja kuweka mwanga katika maisha yangu baada ya kunifanyia tiba zao ambazo nadhubutu kusema ni za uhakika.

Toka wanifanyie tiba yao, kwa hakika fedha zangu zimekuwa na ulinzi mkubwa sana, sasa naweza kutunza fedha zangu hata miezi mitatu kitu ambacho sikuwahi kukifanya hapo awali.

Ndani ya muda mfupi nimeweza kufanya maendeleo makubwa katika maisha yangu ambayo niliyashindwa kwa miaka mingi. Daima sitachoka kuwashukuru AfricanDoctors kwa kuweza kuweka ulinzi katika fedha zangu.

Basi, wasiliana na AfricanDoctors kwa namba ya simu +254719153099

Mwisho.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com