Mkazi wa Pasua Matindigani, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Godson Mbwambo (30) amefariki dunia kwa kujinyonga huku akiacha ujumbe unaodaiwa aliuandika ukutani kabla ya kuchukua uamuzi huo akieleza sababu za kifo chake aulizwe mama yake.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago amesema kijana huyo kajinyonga baada ya kujifungia katika chumba ambacho ukutani paliandikwa, “kifo changu muulizeni mama yangu."
ENDELEA KUSOMA HABARI HII <<HAPA>>
Chanzo - Mwananchi
Social Plugin