MBUNGE SANTIEL KIRUMBA ACHANGIA MILIONI 1 UJENZI SHULE YA MSINGI ILOGI - BUGARAMA
Thursday, March 02, 2023
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (wa pili kulia) akikabidhi kiasi cha shilingi milioni moja kwa viongozi wa kijiji cha Ilogi na kata ya Bugarama halmashauri ya Msalala ili kuunga mkono jitihada za wananchi za ujenzi wa shule ya msingi Ilogi kata ya Bugarama. Fedha hizo ametoa ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi zake.
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akiongea na wananchi wa kijiji cha Ilogi na kuhimiza masuala ya elimu.
Wanawake wa UWT wa kijiji cha Ilogi kata ya Bugarama wakimpokea Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin