Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE LA AFRIKA VIKIENDELEA LEO MACHI 13,2023

Makamu wa Rais wa Tatu wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament - PAP), Mhe. Lucia Doss Passos akizungumza leo Jumatatu Machi 13,2023 kwenye kikao cha Kamati ya jinsia, familia, vijana na watu wenye ulemavu ya Bunge la Afrika. Kamati za Bunge la Afrika vinafanyika Midrand Afrika Kusini kuanzia Machi 6 hadi 17,2023 ambapo wajumbe wa kamati hizo wanajadili masuala mbalimbali kuhusu Bara la Afrika.

Miongoni mwa kamati zilizofanya vikao vyao leo asubuhi ni Kamati ya Jinsia, Familia, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Kamati ya Biashara, Forodha na Mambo ya Uhamiaji na Kamati ya Uchukuzi, Viwanda, Mawasiliano, Nishati, Sayansi na Teknolojia.

Tazama matukio katika picha hapa chini vikao vikiendelea. Picha na Kadama Malunde
Kikao cha Kamati ya Jinsia, Familia, Vijana na Watu wenye Ulemavu ya PAP kikiendelea

Kikao cha Kamati ya Uchukuzi, Viwanda, Mawasiliano, Nishati, Sayansi na Teknolojia ya PAP kikiendelea

Kikao cha Kamati ya Uchukuzi, Viwanda, Mawasiliano, Nishati, Sayansi na Teknolojia ya PAP kikiendelea leo Jumatatu Machi 13,2023.
Kikao cha Kamati ya Biashara, Forodha na Mambo ya Uhamiaji kikiendelea

Kikao cha Kamati ya Biashara, Forodha na Mambo ya Uhamiaji kikiendelea leo Jumatatu Machi 13,2023.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Midrand Afrika Kusini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com