Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (kulia) akimkabidhi shilingi 600,000 mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Segese iliyopo Halmashauri ya Msalala mkoa wa Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi aliyokuwa ameahidi kutoa kwa ajili ya fenicha za shule ya sekondari ya Segese ambapo pia ametoa Printer moja
Mhe. Kirumba ametoa kiasi cha shilingi laki sita na printer moja katika shule ya sekondari ya kata ya Segese ikiwa kutimiza ahadi yake aliyoahidi mwaka 2022 akiongea na walimu na viongozi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Segese , Segese Sekondari .
Social Plugin