Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KAMATI ZA BUNGE LA AFRIKA ZAWASILISHA MIPANGO KAZI YA KAMATI 2023/2024

Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament (PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira akizungumza leo Machi 7, 2023 wakati
Wenyeviti  wa kamati wakiwasilisha mpango mkakati na kazi za kamati zitakazofanyika kwa kipindi cha  mwaka 2023/2024 sambamba na kazi za Kikanda(Regional (caucus). Mikutano ya Kamati za Kudumu za Bunge la Afrika (PAP) na vyombo vingine vya Bunge Afrika imeanza kufanyika Machi 6, 2023 na inatarajiwa kuhitimishwa Machi 17,2023 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com