Tanzia : MWANDISHI WA HABARI RICHARD MAKORE AFARIKI DUNIA
Wednesday, March 08, 2023
Mwandishi wa habari wa magazeti ya Nipashe Mkoa wa Mwanza Richard Maro Makore amefariki dunia katika ajali ya basi la Sheraton lililokuwa likisafiri kutokea Mwanza kuelekea wilaya ya Mbogwe.
Katika ajali hiyo watu 10 wamefariki na majeruhi 48 mganga mfawidhi Dr Mfaume Salum amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin