Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA BARAZA NA KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTONIKI WA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU -TSCMIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume ya Walimu (TSC) kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.


Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanakazi ala Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakimsikiliza Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki alipokua akifungua baraza hilo leo.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Paulina Mkwama akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa Baraza.
Mwenyekiti wa Tume ya utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Prof. Willy Lazaro Komba akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS).

Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma. Waziri Kairuki aliwataka kuutumia kikamilifu mfumo huo ili ukalete ufanisi na kurahisisha utendaji wa kazi kama ulivyokusudiwa huku akiagiza uwe unaboreshwa mara kwa mara kuendana na mahitaji.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). pamoja na viongozi wengine wa Tume ya Utumishi wa Walimu wakifurahia uzinduzi huo wa mfumo uliofanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi tuzo maalum kwa waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS) ambapo moja ilienda kwa Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Paulina Mkwama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi tuzo maalum kwa waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi vyeti kwa wataalam wa TEHAMA waliofanikisha uundwaji wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi zawadi kwa watumishi wa staafu wa TSC.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akiwa na watendaji wa Tume ya Utumishi wa walimu katika picha za kumbukumbu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akiwa na watendaji wa Tume ya Utumishi wa walimu katika picha za kumbukumbu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com