Viongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wakifuatilia matukio wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria yaliyofanyika kiwilaya katika viwanja vya shule ya sekondari Nyamongo wa ufadhili wa Mgodi wa North Mara.
Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Tarime wakipatiwa huduma za afya na kupatiwa elimu dhidi ya mapambano ya Malaria wakati wa maadhimisho hayo.

Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Msalala wakipata elimu ya kupambana na Malaria na upimaji wa afya wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika viwanja vya Kakola kwa ufadhili wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu.

Katika kuaadhimisha Siku ya Malaria Duniani mwaka huu, migodi ya Barrick Bulyanhulu na North Mara, imeunga mkono jitihada za Serikali za kutokomeza ugonjwa wa Malaria kuwezesha kampeni dhidi ya ugonjwa huu hatari sambamba kuhamasisha jamii kupima afya zao mara kwa mara.
Wananchi katika wilaya ya Msalala na Tarime ilipo migodi hiyo walijitokeza kwa wingi kupima afya zao sambamba na kupatiwa elimu ya kupambana na ugonjwa wa malaria katika viwanja vya shule ya sekondari Nyamongo wilayani Tarime na Kakola halmashauri ya Msalala ambapo pia waligawiwa vyandarua vyenye dawa kwa ajili ya kuwakinga na mbu hatari wanaoeneza Malaria pamoja na familia zao.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo wameipongeza kampuni ya Barrick kwa kuwa mstari wa mbele kuunga mkono jitihada za Serikali za kupambana na maradhi mbalilmbali sambamba na kuboresha miundombinu katika sekta ya afya.
Social Plugin