Video inasambaa ikionesha mbinu ya kipekee na ya kustaajabisha ya mhubiri mwanamke kutoa pepo.
Mchungaji akimfanyia mwanamke maombi maalum ili kuwa na mahusiano yatakayomwezesha kuingia katika ndoa.
Akiwa katikati ya maombi hayo, alisikika akimtaka mwanamke anayeombewa kupiga kelele ili kuthibitisha kuwa mapepo yaliyokuwa yanamzuia kuolewa yalikuwa yakimtoka.
Mchungaji huyo alinaswa kwenye video akimwekea mikono mwanamke huyo na kuamuru mapepo yaondoke kwenye mwili wake. Walakini, alisahau kuwa maikrofoni yake ilikuwa imewashwa.
"Tumuombee kwa ajili ya mahaba ili huyu dada tucheze harusi yake," alisema.
The Pastor forgot the Microphone is still on and whispers to the Miracle receiver "Lia kwa nguvu...!". Enyewe earth is hard! 😔💔 pic.twitter.com/wxaIEUI1tq
— ONGERI 🇰🇪 (@EugeneOngeri) April 26, 2023
Social Plugin