Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Mkazi wa Shinyanga akiaga mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
****
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme ameongoza Maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food aliyefariki dunia ghafla jijini Mwanza Jumatatu Aprili 3,2023 akiwa Hotelini.
Mazishi ya marehemu Said Kate Makilagi yamefanyika leo Alhamisi Aprili 6,2023 nyumbani kwake Kambarage Mjini Shinyanga.
Kwa mujibu wa taarifa ya familia tarehe 27.5.2021 Said Makilagi alipata ajali ya gari huko Mpanda Rukwa akapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwa ajili ya matibabu na kutokana na afya yake kutetereka alikuwa akipatiwa matibabu Bugando, Kenya na India.
Hata hivyo kutokana na matibabu hayo alipata nafuu na kwa nyakati tofauti alikuwa anapata maumivu ya kichwa na mnamo tarehe 3.4.2023 akiwa jijini Mwanza aliugua ghafla jijini akafariki dunia.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Musoma Food, Boniphace Said Kate Makilagi alizaliwa 01.06.1967 alifariki dunia 03.04.2023, ameacha mjane na watoto wawili.
Tazama matukio katika Picha ...Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food
Social Plugin