Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMPIGA CHINI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu hassan ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bw. Sekkie Yahaya Selemani kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com