Mafunzo ya Mfumo wa Ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na utawala bora kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita.
Na Marco Maduhu, GEITA
TIMU ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo Lawyers Environment Action Team (LEAT), wameendelea na utoaji wa mafunzo ya mfumo wa ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na utawala bora, kwa Watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita, ili kuwakumbusha katika utekelezaji wa majukumu yao pamoja na kufanya kazi kwa uadilifu katika kusimamia Rasilimali za nchi na utunzaji wa Mazingira.
Mafunzo hayo yameanza kutolewa kuanzia Aprili 3 ambayo yatakwenda hadi Aprili 7 mwaka huu ambayo yanafanyika mjini Geita.
Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Mkufunzi Hana Lupembe kutoka (LEAT)amewataka viongozi hao kila mmoja anapaswa kutekeleza majukumu yake ipasavyo katika kuwahudumia wananchi kwa kuzingatia misingi ya haki za binadamu.
“Mfumo wa ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii ni dhana Shirikishi inayohusisha watoa huduma na wapokea huduma kwa kuzingatia misingi ya haki za binadamu, na mfumo huu ukifuatwa vizuri kutakuwa na uwajibikaji kwa viongozi, kutoa huduma bora, kuwa waadilifu na wawazi,”amesema Lupembe.
Kwa upande wake Mkufunzi Valeria Macha kutoka (LEAT) akizungumza wakati akitoa mafunzo hayo, amewataka viongozi hao wawe waadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao, pamoja na kuzifuata sheria za uadilifu kwa umma katika kuwahudumia wananchi na kusimamia Rasilimali za nchi na utunzaji wa Mazingira.
Hana Lupembe kutoka Timu ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo (LEAT)akitoa mafunzo kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita.
Hana Lupembe kutoka Timu ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo (LEAT)akitoa mafunzo kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita.
Valeria Macha kutoka Timu ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo (LEAT)akitoa mafunzo kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita.

Watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita wakiwa katika mafunzo ya mfumo wa ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na utawala bora kutoka Timu ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo LEAT.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea ya Mfumo wa ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na utawala bora kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya kata Geita.
Washiriki wakiwasilisha kazi za vikundi.
Uwasilishaji kazi za vikundi ukiendelea.
Uwasilishaji kazi za vikundi ukiendelea.
Uwasilishaji kazi za vikundi ukiendelea.
Uwasilishaji kazi za vikundi ukiendelea.
Uwasilishaji kazi za vikundi ukiendelea.
Social Plugin