Msanii wa Nyimbo za Asili Tanzania kutoka Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Ntemi Omabala (Ng’wana Kang’wa) anatarajia kuwa na SHOW kali siku ya Jumamosi Tarehe 22.4.2023 katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Ng’wanakang’wa pia atakuwa na SHOW nyingine siku ya Jumapili Terehe 23.4.2023 katika uwanja wa Maganzo Manispaa ya Shinyanga.
Kiingilio ni Shilingi Elfu moja tu (1000 ) kwa watoto na wakubwa.
Muda kuanzia saa sita mchana hadi saa kumi na mbili jioni watu wote mnakaribishwa.
Imewezeshwa na Biti M - Afrika
Social Plugin