Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KAMISHNA WA SEKRETARIETI YA MAADILI ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALIWATU BENNY KABUNGO JIJINI MBEYA


Mhe. Jaji (Mst) Sivangilwa Mwangesi Kamishna wa Maadili (wa kwanza kushoto) na Bw. John Kaole Katibu Usimamizi wa Maadili (kushoto kwa Jaji Mwangesi) wakiweka shada la maua katika kaburi la Benny Kabungo eneo la Nonde jijini Mbeya tarehe 30 Machi, 2023. Benny alikuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu katika Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.


Mhe. Jaji (Mst) Sivangilwa Mwangesi Kamishna wa Maadili tarehe 30 Machi, 2023 akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Benny Kabungo aliye kuwa Mkurugenzi wa Utawla na Rasilimaliwatu mtaa wa Jakalanda jijini Mbeya. Kabungo alifariki dunia tarehe 27 Machi, 2023.



Baadhi wa watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakiwa katika picha ya pamoja katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekua Mkurugenzi wa Rasilimali watu Sekretarieti ya Maadili Bw. Benny Kabungo.Ibada hiyo ilifanyika Mbweni Dar es Salaam tarehe 29 Machi ,2023.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com