Wadhamini wakuu wa klabu ya KMC inayoshiriki ligi kuu ya NBC Meridianbet Tanzania wameahidi kutoa shilingi laki tano kwa kila goli ambalo klabu hiyo itapata katika michezo ya ligi kuu ya NBC iliyobakia. Baada ya Meridianbet kuahidi kutoa kiasi hicho cha pesa kwa klabu hiyo lengo lao ni kurudisha kwenye jamii yake kama ilivyo kawaida yao.
Baada ya klabu KMC kupata goli katika michezo yake ambapo goli moja ni shilingi laki tano hivo watakua wanatumia kiasi hicho cha pesa kurudisha kwenye jamii, Jukumu la wapi kiasi hicho cha pesa kitaelekea kusaidia jamii litabakia kwa klabu ya KMC ambao watapokea kiasi hicho kutoka kwa Meridianbet.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Utaratibu wa Meridianbet umekua ni kuhakikisha unarudisha kwenye jamii yake kwa kile kidogo ambacho wanakua wanakipata moja kwa moja au kwa kupitia washirika wake na kipindi hichi wameamua kuitumia klabu ya KMC kuhakikisha inarudisha kwenye jamii, KMC watajipatia kiasi cha shilingi kwenye kila goli ambalo watafunga kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC na kweza kutumia kiasi hicho kurudisha kwenye jamii yao.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Aidha mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka Meridianbet bwana Matina Nkurlu aliongea na wachezaji wa klabu ya KMC na kuwapa moyo kuelekea michezo yao inayofata mbeleni, Vilevile akiwataka kupambana kuhakikisha klabu hiyo inabaki kwenye ligi kuu ya NBC msimu unaofuata kwani aliwaeleza wachezaji hao ana imani kubwa wana kila sababu ya kufanya vizuri katika michezo iliyobaki.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Social Plugin