WAHANDISI TANROADS WATOA ELIMU YA BARABARA

Mhandisi wa Miradi Peter Bululu (wa kwanza kulia), kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) akitoa elimu ya matumizi sahihi ya barabara kwa wanafunzi kwenye siku ya kilele cha maonesho ya Teknolojia na Ubunifu jijini Dodoma.
Wahandisi katika banda la Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakitoa elimu ya matumizi sahihi ya barabara kwa wanafunzi kwenye siku ya kilele cha maonesho ya Teknolojia na Ubunifu jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi wa Mipango Eng. Anorld Masaki( wa kwanza kushoto) akiwa na Mhandisi wa Mizani Eng. Japhet Kivuyo wote kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakitoa elimu ya matumizi sahihi ya barabara kwa wanafunzi kwenye siku ya kilele cha maonesho ya Teknolojia na Ubunifu jijini Dodoma.
Bi Christina Luhwago kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) akimsikiliza mwananchi (jina halikupatikana) alietembelea banda la TANROADS kwenye siku ya kilele cha maonesho ya Teknolojia na Ubunifu jijini Dodoma.

Picha na TANROADS Dodoma

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post