WASHINDI TUZO ZA MDAU SHUPAVU 2022/2023 , HOLYSMILE WATOA ZAWADI KITUO CHA WATOTO BUHANGIJA, HOSPITALI SHINYANGA

Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakiwa katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Na Kadama Malunde & Marco Maduhu

Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu (Shinyanga Mdau Shupavu Awards mwaka 2022/2023 zilizoandaliwa na Taasisi ya HolySmile inayotoa huduma za Sanaa, Utamaduni na Burudani pamoja na kutambua na kuthamini juhudi na harakati zinazofanywa na wadau wote wa maendeleo wametembelea Kituo cha Kulelea Watoto Wenye Mahitaji Maalumu ( wenye ualbino, wasioona na viziwi) na kutoa zawadi mbalimbali ikiwemo chakula.

Washindi hao wa tuzo za Mdau Shupavu zilizofanyika litakalofanyika tarehe 31.03.2023 pamoja na Taasisi ya Holysmile pia wametembelea Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga na kutoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa pamoja na akina mama ambao wamejifungua watoto.

Akizungumza  leo Ijumaa Mei 5,2023 wakati katika kituo cha Buhangija na Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga, Mkurugenzi wa Taasisi ya HolySmile, Anold Bweichum amesema Taasisi hiyo na washindi wa tuzo hao wanajali watoto na wagonjwa hivyo wameona ni vyema kuwatembelea na kutoa zawadi kama sehemu ya michango yao kwa jamii.

Mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kike  Lydia Lefi ametumia fursa hiyo kusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birthday' na watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija kwa kuwapa zawadi na kula nao keki wakati Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Mkurugenzi wa Taasisi ya HolySmile, Anold Bweichum  akizungumza katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Zawadi mbalimbali zilizotolewa na Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Zawadi mbalimbali zilizotolewa na Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakiwa katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Buhangija Jumuishi Fatuma Hamis akitoa neno la shukrani kwa Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  baada ya kukabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Mwanafunzi akitoa neno la shukrani kwa Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  baada ya kukabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Mkurungenzi wa Taasisi ya Holysmile Anold Bweichum akizungumza baada ya Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  kukabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Watoto wakipewa zawadi ya Juisi wakati Mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kike  Lydia Lefi akisherehekea Siku yake ya Kuzaliwa wakati Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Keki ya Mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kike  Lydia Lefi akisherehekea Siku yake ya Kuzaliwa wakati Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kike  Lydia Lefi akiwasha mshumaa kusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa wakati Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga
Mshindi wa Tuzo ya MC Bora wa Kike  Lydia Lefi, viongozi wa Holysmile, Watoto na wadau wakikata keki kusherehekea Siku ya kuzaliwa ya MC Lyidia wakati Washindi wa Tuzo za Mdau Shupavu 2022/2023 katika Manispaa ya Shinyanga na Taasisi ya HolySmile  wakikabidhi zawadi mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija Mjini Shinyanga

Mkurugenzi wa Taasisi ya Hollysmile Anold Bweichum (kushoto) akikabidhi Zawadi Muuguzi katika Wodi ya Wazazi Mkoa wa Shinyanga Esperansia Misalaba.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hollysmile Anold Bweichum (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mama ambaye amejifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.
Zoezi za utoaji zawadi likiendelea katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

MC Lidya akiwa amebeba mtoto na kumpongeza Mama ambaye amejifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga, ambapo leo ni siku yake pia ya kuzaliwa.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hollysmile Anold Bweichum, akiwa ameambatana na washindi wa Tuzo ya Mdau shupavu na wadau wa maendeleo wakiwasili katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga kutoa zawadi kwa wagonjwa pamoja na kuwafariji.

Wadau wa maendeleo wakiwasili katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga kutoa zawadi kwa wagonjwa na kuwafariji.

Picha ya pamoja ikipigwa.

Picha na Kadama Malunde & Marco Maduhu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post