Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET MWENDO KURUDISHA KWA JAMII YAWAFIKIA BODABODA MBAGALA

Kampuni ya Meridianbet imefanya tena ambacho imekua ikifanya mara kwa mara kwani mapema leo wamefika Mbagala ambapo wamekwenda kutoa msaada kwa Bodaboda wa eneo hilo na sio kingine bali kugawa Reflectors ambazo zitakua zikiwasaidia Bodaboda wa eneo hilo kutekeleza majukumu yao ya kila siku vizuri.

Bwana Matina Nkurlu ambaye ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet aliiongoza timu yake kufika Mbagala na kugawa vifaa hivo kwa Bodaboda, Huku akisema sio kwamba wataishia kugawa Reflectors bali watakapofika eneo hilo kwa mara nyingine basi watajitahidi kuboresha zaidi ambacho wamekifanya leo.

Meridianbet kama ilivyo utamaduni wao wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuonesha upendo na kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni ambayo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.


Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Utaratibu wa kampuni ya Meridinabet kwenye kutoa kwa jamii umekua ukifahamika sasa kwani imekua kama utamaduni kwao kusaidia watu ambao wamekua wamekwama katika maeneo mbalimbali, Hivo hii inaendelea kunesha namna kampuni hiyo imekua mstari wa mbele kwenye kujitoa kwenye jamii.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com