Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DIMPOZ ZA MREMBO HUYU ZAZUA GUMZO MTANDAONI



Mrembo wa Nchini Nigeria aitwaye Dara amezua gumzo mtandaoni baada ya kuonyesha 'Dimpoz' zake za kipekee usoni mwake.

Msichana huyo alitupia video na picha kupitia akaunti yake ya TikTok #dara_smiles, akionyesha jinsi dimples zake zilivyokuwa za kipekee.


Hata hivyo, baadhi ya watu waliokutana na picha hizo hawakuziona za kuvutia kwani walisisitiza kuwa 'Dimpoz' ni kubwa mno. Tofauti na Dimpoz za watu wengine.


Je wewe unaungana na hao wanaoziponda au zimekuvutia??

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com