Waandishi wa habari mkoani Shinyanga wamehudhuria kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mualiko wa Mbunge wa Viti maalum Mhe. Salome Makamba.
Wamehudhuria Bungeni Dodoma leo Mei 22,2023 na kushuhudia usomwaji wa Bajeti ya Wizara ya ujenzi na uchukuzi iliyosomwa na Waziri wa Wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa.
Aidha,Wabunge wote wa Mkoani Shinyanga wameshirikiana kikamilifu na waandishi wa habari wa mkoa huo.
Social Plugin