Sloti ya Circus Fever Deluxe
Kuna michezo mingi inafurahisha na mingine unapoicheza inakuingizia hela, kwenye miaka ya nyuma Sanaa ya maonyesho majukwaani ilikuwa inafanya vizuri sana, Kasino ya mtandaoni Meridianbet inataka kukurudisha nyuma mpaka miaka ya 2000s kupitia sloti ya Circus Fever Deluxe.
Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna tofauti kidogo, huku kuna wacheza sarakasi na Wanyama ambapo wanashindana sehemu moja mchezo huu unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ina mchezo wa Plinko ambapo mchezaji atabashiri namba 5 kati ya (1,2,4,6 na 9) ikisindikizwa na michezo miwili ya bonasi ya kasino ya mtandaoni.
Zingatia: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni uupendao, jisajili sasa.
Jinsi ya Kuchezo mchezo wa Plinko
1. Hapa kuna hatua kuu za kucheza Plinko kasino:
Weka dau lako: Kabla ya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuanza, unahitaji kuweka dau lako. Kiasi cha dau lako kitategemea malipo ya uwezekano ikiwa utashinda.
2. Achia kete: Mara baada ya dau lako kuwekwa, mchezo utaanza. Unahitaji kuachia kete kwenye ubao wa vibonye na safu kadhaa za vibonye. Kete itapiga vibonye wakati inaanguka, na hatimaye kutua kwenye mojawapo ya mashimo kadhaa chini ya ubao.
3.Pokea ushindi wako: Mashimo ambayo kete inaweza kutua yataamua ushindi wako. Kila shimo linahusishwa na malipo tofauti, hivyo uwezekano wa malipo utategemea mahali ambapo kete inatua.
4.Endelea kucheza: Unaweza kuendelea kucheza Plinko kwa kuweka dau jingine na kuachia chombo kingine.
Social Plugin