Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAFUNGUA DUKA JIPYA UBUNGO - KIBANGU


Kampuni ya Meridianbet imeendeleza utaratibu wao wa kuhakikisha wanasogeza huduma kila mahali ambapo wateja wao watakuwa wanapatikana ambapo mapema leo wameweza kufanya uzinduzi wa duka mitaa ya Ubungo-Kibangu ambapo wakazi wa eneo hilo watakua wanabashiri michezo mbalimbali kama mpira wa miguu, Kikapu,Tenesi, pamoja na michezo ya Kasino mitandaoni.

Meridianbet wanakuambia “CHAGUA TUKUPE” Hii wamekutana nayo leo wakazi wa Ubungo-Kibangu ambapo duka jipya la Meridianbet limezinduliwa, Kwani wadau wengui waliojitokeza eneo hilo leo wamekutana na bonasi tofauti tofauti katika michezo mbalimali ambayo walichagua kuicheza.

Kuelekea mwisho wa ligi, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo hapo Ubungo,Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Bado hawajamaliza ndio kwanza wanaanza na mpaka mwaka huu uishe Meridianbet itakuwa kila kona ya nchi hii ambapo maeneo mengi yatakuwa yamefikiwa na huduma ya maduka na watacheza michezo mbalimbali mpaka ya kasino ya mtandaoni. Hivyo watu wajitokeze kwa wingi kutumia Meridianbet wanapofanya ubashiri.”




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com