MUONEKANO WA JUU BARABARA YA DODOMA-BABATI YENYE UREFU 251KM
Wednesday, May 03, 2023
Muonekano wa juu wa sehemu ya barabara ya Dodoma - Babati yenye urefu wa Kilometa 251, inayopokea fedha za matengenezo kutoka Mfuko wa Barabara ili kuhakikisha inakuwa katika hali nzuri wakati wote.
Picha na RFB
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin