Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET NA KMC BEGA KWA BEGA HADI HOSPITALI YA KALITA MATERNITY


Meridianbet Yatimua vumbi ndani ya hospitali ya Kalita Maternity huko Madale baada ya kutoa msaada wa vyakula na usafi ikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, unga wa ugali, lakini pia sabuni, mafagio na vingine vingi hospitali hapo.

Kama tunavyojua usafi ni kila kitu katika maisha yetu na hasa mazingira ya hospitali kutoka na mkundikano wa watu eneo hilo, ndipo kampuni hiyo ya ubashiri Tanzania wakaamua kuitembelea hospitali hiyo pamoja na mchezaji wa KMC Cliff Buyoya ambao wao ndio waliamua kufanya hivyo.

KMC ambao wanadhaminiwa na Meridianbet waliahidiwa kupatia shilingi laki tano kwa kila goli kwenye mechi zao na kati ya hizo mechi walishinda mechi mojawapo na kupewa milioni moja ambayo wachezaji wameamua wasiitumie bali wapeleke kwenye jamii kwa kununua vifaa vya usafi na vyakula.

 

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

 

Kwahiyo pesa hiyo imetumika kununulia vifaa kama Ndoo za uchafu 15 (Dustbin), Mifagio 30 ya kufagilia ndani na nje ya hospitali, Sabuni za usafi na kunawia mikono 15, Mop 15 pamoja na dissinfectant ambavyo hivyo vyote vitatumika kwaajili ya kufanyia usafi.

Pia Meridianbet pamoja na KMC hawajaishia kununua vifaa vya usafi peke yake wamenunua na mahitaji mengine ya vyakula vya nyumbani kama vile, mchele kilo 40, unga wa ugali kilo 30, sukari kilo 30 mafuta ya kupikia lita 20, sabuni ya mche na ya unga pakti 15.

 Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Afisa Habari wa Meridianbet Bwana Matina Nkurlu akiambatana na Msimamizi wa Waandishi wa Habari Meridianbet Nancy Ingram walihakikisha kuwa vifaa hivyo vyote wanaikabidhi hospitali hiyo na kuwasihi kuwa wavitumie kwa uangalifu na wavitunze kwani vitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku hapo hospitali.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 Baada ya kupokea vifaa hivyo hospitali hiyo kwa ujumla wauguzi na wagonjwa walifurahi sana kufikiwa na Meridianbet na kuwaletea vifaa vya usafi na vyakula kwani vitawasaidia wagonjwa waliopo hapo kwani kuna wengine hawana uwezo wa kujinunulia chakula.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com