Furahia Mavuno na Bounty Hunter Kasino ya Mtandaoni.
Sloti ya Bounty Hunters ina mfumo wa bunduki na sifa ya kuwa na wazungushaji, watawanya mafuvu na wanyama mwitu wenye mabegi ya dhahabu. Ni sloti inayokupatia faida mara 96.31% pamoja na mistari 40 ya malipo.
Je unahitaji kucheza kasino ya mtandaoni na hauna akaunti ya meridianbet, jisajili kisha utazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino na michezo ya sloti.
Sloti Yenye Mandhari ya Nchi za Magharibi
Unapouanza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni muonekano wake unavutia sana, ni mithili ya nchi za kimagharibi kutokana na mtindo wake na wahusika wake waliopo ndani, hakika sloti ya Bounty Hunters inavutia kupita maelezo, ishi ndani ya mchezo huu.
Kucheza kasino ya mtandaoni haswa sloti ya Bounty Hunters ni rahisi sana kwakuwa unaanza na kuweka dau lako. Kiwango cha chini zaidi ni 0.1 kwa kila mstari na cha juu ni 1,200. Weka kiwango unachohitaji na kisha zungusha ili kuanza safari. Vitufe vyote vipo katika sehemu zake za kawaida. Unaweza kubofya spin ili kuanza mchezo au kutumia Autoplay ili kuzungusha reels mara kadhaa (mpaka mara 250).
Utakuwa unajitahidi kumkamata muhalifu wa dhahabu ili upate sarafu 100 kwa 5 kwenye mstari. Mwanamke analipa 80 kwa mchanganyiko kama huo, kama ilivyo kwa mwanaume aliyevaa bandana. Alama ya Wild unaweza kukupa mchanganyiko wa ushindi mkubwa na unalipa zaidi, sarafu 150 kwa 5 kwenye mstari.
Vilevile kuna joka mwitu, lakini hili linatokea kwenye mzunguko wa bonasi pekee. Pia bonasi ya alama ya fuvu inalipa zaidi ukipatia mara 3 na ukicheza mizunguko ya bure.
Hii yote inaifanya sloti ya Bounty Hunters kuwa na thamani ya safari ya Kimagharibi. Ingia kwenye Kasino ya Mtandaoni Meridianbet na ukusanye maokoto ya kutosha.
Social Plugin