Sloti ya Forest Rock
Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.
Sloti hii pendwa ya Forest Rock kutoka kasino ya mtandaoni ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja, Simba ni bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo upate bonasi ya mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni kwa kubonyeza hapa.
Hatua za Ushindi Sloti ya Forest Rock
Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.
Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.
Social Plugin