Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

UNAPOCHEZA MCHEZO WA KENO INSTANT UHAKIKA WA MAISHA UNAO



 Unataka kujua ni mchezo gani wa bahati nasibu ni rahisi sana kupinga mkwanja mrefu bila hata kutumia akili kubwa? Usiwaze chaguo lako ni Keno Instant ya Meridianbet moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni unaolipa hela kinouma, unaweza kucheza kwenye maduka ya Meridianbet kwa dau lolote.

 

Unaweza kuucheza mchezo huu kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet pekee. Mchezo huu unapambwa na zawadi ambazo zinapendwa zaidi na wachezaji wa keno. Mchezo unaweza kukurudishia faida kati ya 96-96.71%, Instant Keno ni aina ya mchezo unaokupa nafasi ya ushindi zaidi.

 

Wild Lotto Ride

Mchezo wa Instant Keno unaanza kwa kuweka namba 80. Zimegawanyika kwenye rangi ya njano, nyekundu, kijani na blue (namba 20 kila moja).

 

Ili kuanza mchezo, unatakiwa kuweka ubashiri wako. Kuna machaguo mengi, dau la chini ni coin/sarafu 1 na la juu zaidi ni coin 7,500. Weka dau lolote unaloweza na kisha bofya kitufe cha ‘play’ kuanzisha mchezo.

 

Unaweza kuchagua namba moja au zaidi (zisizidi namba 10) au kuchagua kuanzia namba 2 mpaka 9 ambapo kila namba unayoichagua ina odds zake za ushindi. Utapaswa kubofya kitufe cha ‘Add’ ili kuweka namba upande wa kulia kama ilivyo kwenye tiketi ya lottery/bahati nasibu. Kisha, utaweka utabiri wako na kuanzisha mchezo.

 

Kinachotofautisha Instant Keno na michezo mingine ya kasino ya mtandaoni ni tabiri za ziada na ongezeko la namba. Kupitia tabiri za ziada, unaweza kutabiri rangi ya namba ya kwanza, jumla ya namba za kwanza, namba shufwa/witiri za mwanzo au mpangilio wa mstari wa namba za kwanza. Odds za kila tabiri za ziada zinaonekana upande wa kulia na zitaongeza faida yako kulingana na namba hiyo.

 

Mchezo huu unaopatikana madukani, kwenye mashine za sloti, na kasino ya mtandaoni pia unakupa nyongeza zisizo na mpangilio (0.5, 1 au 2) kwenye ushindi wako kabla ya namba kutolewa. Malipo yatategemea idadi ya namba zitakazotolewa na idadi ya namba ulizopatia. Ni sawa na dau lako la awali likizidishwa na idadi ya ongezeko moja. Kadiri unavyochagua namba nyingi, ndivyo unavyopata malipo makubwa.

 

Ongeza tabiri za ziada kwenye mchanganyiko, itadhihirisha kwanini Instant Keno kutoka Expanse ni mchezo bora wa keno kutoka kasino ya mtandaoni.

Inapatika Meridianbet Pekee.

 

Michezo yote kutoka Expanse Studios inapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet ni vivyo hivyo kwenye Instant Keno. Hutoupata kwingine popote. Meridianbet wanakupatia mchezo huu bure au kwa pesa halisi, hautakuwa umejitendea haki kama utakosa burudani ya mchezo huu.

 

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com