Mchezo wa Pumpkin Patch
Moja kati ya njia rahisi kutengeneza hela nyingi kwa mara moja, ni michezo ya kasino ya mtandaoni, na Meridianbet wameliona hilo na kushirikiana na watengenezaji nguli wa michezo ya kasino ya mtandaoni Habanero, wamekuletea mpaka kiganjani mwako mchezo wa Pumpkin Patch.
Mchezo wa Pumpkin Patch kasino ya mtandaoni una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo ya ushindi kingine ni kwamba,unakujia na jackpoti kubwa mbili za ushindi nafasi ni yako tu kucheza na kushinda.
Jinsi ya Kucheza na Kushinda Pumpkin Patch
Jinsi ya kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni rahisi sana, anza kwa kubofya Kitufe chenye neno *Spin kuanzisha mzunguko. Sloti ya Pumpkin Patch ina alama mbili kuu.
Alama ya Boga linalo cheza likiwa kwenye kifukuzia kunguru na alama ya Wild. Ikiwa alama ya Kunguru ikaangukia pembeni ya Boga, itasababisha boga hilo kusambaa kwenye kolamu na kutengeneza alama ya ushindi yenye kukuletea malipo ya kiwango kikubwa iitwayo Complex Wild. Na hii ni Sloti ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
Kama Kindi (Squirrel) akiangukia pembeni ya Boga, basi Boga hilo litabadilika na kuwa alama ya ushindi ambayo itakutea malipo mara mbili ya mwanzo iitwayo Wild.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti ya Pumpkin Patch inakupa nafasi ya kushinda mizunguko kibao ya bure. Jiunge kwa kubofya hapa na upate bonasi ya bure ya kuanzia.
Social Plugin