Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kahama Mkoa wa Shinyanga anawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2023/2024
Katika kozi za:
💢 Clinical Medicine / Utabibu
Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne ikiwemo Fizikia, Kemia na Biolojia
💢 Pharmaceutical Sciences / Famasi
Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne ikiwemo Kemia na Biolojia
💢 Social Work / Ustawi wa Jamii
Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne katika masomo yeyote isipokuwa masomo ya dini
💢 Community Development / Maendeleo ya Jamii
Vigezo ni ufaulu wa kuanzia alama D nne katika masomo yeyote isipokuwa masomo ya dini
Chuo kinatoa huduma ya hostel bure kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza
Ada zetu ni nafuu na hulipwa kidogo kidogo
Tunatoa ofa ya udahili bure kwa wanafunzi watakaowahi kupiga simu chuoni kuomba kudahiliwa
Tembelea tovuti yetu: www.kachs.ac.tz
Social Plugin