Expanse Studio inatarajia kuhamasisha kwa ukubwa zaidi onyesho la Sigma Americans 2013 ambalo linatarajiwa kuonyeshwa nchini Brazil ambapo kwenye onyesho hilo kutakuwa na michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni.
Tukio hilo litafanyika huko Sao Paolo kuanzia tarehe 14 hadi 18 mwezi huu na litakutanaisha viongozi mbalimbali ambao wanajihusisha na michezo ya kubahatisha wa Amerika Kusini.
Meridianbet kwa kuonyesha kuwa wao wana michezo kibao ya kasino ya mtandaoni, onyesho hilo litakuwa ni chanzo kwa wao kuthibitisha kuwa wanawafikia wauzaji na wanaotoa huduma ya michezo ya kubahatisha ya Amerika ya Kusini.
Je unajua ni kwanini Expanse Studio ndio wanasimami onyesho hili?
Basi ni kwasababu, Expanse Studio imekuwa ikifanya vizuri tangu ilipoanzishwa mwaka 2017 na huduma zake zimekuwa bora na za kudumu muda wote. Vilevile michezo yao ambayo wanatoa siku zote inakuwa haina upendeleo kama vile Titan Roulette, Clown Fever na Wild Icy Fruits.
Na michezo hiyo yote inapatikana ndani ya Meridianbet. Ingia na uweze kucheza michezo hiyo ya kasino upige mkwanja mrefu kwa dau dogo tu ambalo unakuwa umeweka.
Kutokana na teknolojia kukua kwa haraka imefanya uchezaji wa michezo hiyo ya kasino kuwa rahisi kwani sasa unaweza kucheza kwenye simu yako ya mkononi ukiwa na internet pekee.
Ndani ya Meridianbet michezo ya kasino ipo mingi kama vile Aviator, Poker, Roulette, Book of Egypt, Piggy Party na mingine kibao ambayo inaweza kubadilisha ndoto zako.
NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.
Social Plugin