Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko ina nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuhamia kuanzia kidato cha I-IV ada 1,500,000/= (Bweni) 1,000,000/=(kutwa). +Shule inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kusoma na kurudi kufanya mitihani katika shule zao za serikali kwa ada ya sh. 1,000,000/= (bweni) kwa mwaka.
Kwa mwanafunzi atakayesoma shuleni kwetu atasoma pia fani moja ya ufundi bure kama umeme, kompyuta, cherehani, ufundi bomba, secretarial, maabara, utalii & hotel, udereva, ufundi magari, muziki, video production na ICT.
Mwaka 2022 waliofanya Mtihani 21, waliofaulu mtihani 21, waliochaguliwa kidato cha tano 17, waliochaguliwa vyuo mbalimbali 4.
P.O BOX 86 TARIME, MARA -TANZANIA
0768 901 641/0784 471 566
Shule inapatikana Tarime Mjini jirani na Chuo cha Ufundi Tarime(Mwera)
Social Plugin