Je una sherehe yoyote?? Mkutano, Kikao au tamasha!!!? basi usijali!! Njoo hapa Level One Pub Shinyanga Mjini ndiyo mahali sahihi kabisa kwa ajili ya sherehe na matukio mbalimbali!! Ndiyoooo!!
Tunao ukumbi maalumu mzuri wa kisasa kwa ajili ya Sherehe za Maharusi, Send Off, Matamasha, Mikutano, vikao na shughuli mbalimbali!! Tupigie +255 767 811 412
Social Plugin