Breaking : RAIS SAMIA APANGUA PANGUA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI
الأربعاء, يونيو 07, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri kwa kuteua wapya, kuwahamisha vituo na wengine kuachwa katika vituo vyao vya awali.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin