Sloti ya Wild Icy Fruits
Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa sloti hii ya kasino ya mtandaoni, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7 unatoa malipo makubwa yanayowezekana kwa alama 5 zilizopo kwenye mstari mmoja.
Kwa mara nyingi, upekee wa michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kutoka Expanse unaonekana kwenye mchezo huu, ambao unakuja ukiwa na scatters na wilds.
Alama 5 za wilds kwenye mchanganyiko wa ushindi, utakuongezea mara 25 ya dau lako, wakati scatter 5 zikiangukia sehemu yeyote ya reels, itakuongezea mara 500 ya dau lako.
Uwanda wa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet haswa sloti hii ya Wild Icy Fruits, unawafaa wachezaji wa kila aina, inaanzia chini zaidi kwa sarafu 4 kwa mzunguko mmoja na kuongezeka mpaka koini 50 kwa kila mstari au 2.000 kwa mzunguko.
Sifa za kipekee zaidi Kwenye Mchezo.
Pia miongoni mwa alama inayolipa zaidi mezani kwenye kasino ya mtandaoni haswa sloti hii ni alama ya Wilds, zitawasaidia wachezaji wakati wakiwa mchezoni kwa kuchukua nafasi ya alama zingine za kawaida. Kimsingi, haziwezi kuchukua nafasi ya scatters.
Kwa kuzingatia kwamba sloti ya Wild Icy Fruits haukupi mizunguko ya bure kama ilivyo kwa sloti na michezo mingine ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, chaguo la scatters hutoa malipo bila kujali nafasi zake kwenye mchezo. Lakini, Expanse Studios hawajatuandalia hayo tu!
Wakati unazungusha reels, kunauwezekano wa kushinda jakipoti 1 kati ya 3 zilizopo (Mini, Midi na Mega). Zawadi za jakipoti hazina muendelezo, inamaana kuwa hazitategemea hatua yako ya kucheza kasino ya mtandaoni.
Social Plugin