Tanzia : MWANDISHI WA HABARI MAGRETH TENGULE AFARIKI DUNIA
السبت, يونيو 03, 2023
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma inasikitika kutangaza kifo cha Mwanachama wao Magreth Tengule kilichotokea Jijini Mwanza.
Tutaendelea kutaarifiana taratibu za mazishi.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Amina
Fred Alfred
Kaimu Katibu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin