Mwanafunzi kutoka chuo cha Adeseun Ogundoyin Polytechnic Eruwa (AOPE), jimbo la Oyo nchinu Nigeria ameripotiwa kupatikana amekufa huku macho yake mawili yakiwa yametolewa.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 17, aitwaye Oyindasola ambaye kwa sasa yuko katika mwaka wake wa 2 akisoma mawasiliano ya umma alifariki Jumatano Juni 14 katika chumba chake cha hosteli.
Kulingana na blogu maarufu, Instablog9ja inasemekana msichana huyo alionekana kwenye dimbwi la damu huku macho yake mawili yakiwa yametolewa.
Kulingana na vyanzo vingine kwenye mtandao, inasemekana marafiki zake walikwenda kwenye hosteli yake kumchunguza na kugundua kuwa ameuawa na macho yake mawili.
Social Plugin