Meridianbet wakali wa odds kubwa, bonasi na promosheni kali, wamekuja na kitu kipya kwa wateja wanaobeti madukani, kuanzia sasa mchongo ni kucheza mashine za sloti zizopo kwenye maduka yote ya Meridianbet. Hizi ni sloti mashine kama zinazopatikana kasino ya mtandaoni.
Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine za Sloti zinazokupa nafasi ya kucheza kasino ya Mtandaoni, Soma Yafuatayo>>>
Unachopaswa kufanya ni kwenda kwa Keshia wa madukani na
atakuweka Kiwango unachohitaji kwenye mfumo ambapo kila Mashine ya Sloti ina Namba zake, kiwango cha chini kucheza ni
michezo 8 na kiwango cha juu zaidi ni michezo 10 lakini michezo hii inategemea
na mashine za sloti unazotumia.
Kumbuka
mashine za sloti hazitumii mfumo wa Shilingi bali zinatumia Credit kwa mfano, Mteja akiweka
Shilingi 1000 kwenye mfumo itasoma Credit 100, kwa maana hiyo 1 Credit= 10 TZS.
Kiwango
cha chini kuweka kwenye mashine za Sloti ni Shilingi 1000 na kiwango cha juu ni
Milioni moja. Mashine za Sloti zinazokupa uhalisia wa michezo ya
kasino ya mtandaoni zinalipa
mpaka Milioni Kumi ikiwa ni kiwango cha juu.
Dau
la chini kucheza Sloti ni Shilingi 10 sawa na 1 Credit.
Aina ya Michezo Pendwa Kwenye Sloti
Mashine
Katika
Mashine za SlotI kuna michezo pendwa na rahisi zaidi kushinda kwa mfano
utakutana na mchezo wa Matunda "Sizzling Hot", Mchezo wa Karata
"American Poker", kuna Mchezo wa "The Money", Mwingine ambao ni rahisi
zaidi ni mchezo wa King Card nao ni mchezo wa Karata, Bila kusahau "Book
of RA" miongoni mwa michezo maarufu ya Misri "Egyptian Game".
Social Plugin