40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kwenye kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama za Jokeri zinazojaza mistari wima (coloumns). Unaweza kuongeza ushindi wako kwa msaada wa bonasi za ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni.
Sloti hii ya kasino ya mtandaoni yenye mistari wima (coloumns) mitano zilizopangwa na mistari mlalo (rows) minne na ina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Nyota ndiyo alama pekee ya mchezo inayotoa malipo kwa alama mbili zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Mipangilio yote ya ushindi, isipokuwa mipangilio yenye alama za scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia mstari wima (coloumn) wa kwanza kushoto.
Unaweza kupata ushindi mmoja tu, kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa mstari wa malipo una mipangilio ya ushindi kadhaa, utalipwa mpangilio wenye thamani kubwa zaidi.
Jumla ya ushindi unawezekana kutokea ikiwa umeunganisha mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.
Kwenye sehemu ya kuweka Bet kuna vitufe vya “jumlisha(+)” na “kutoa(-)” ambavyo vinatumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.
Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja (Autoplay), ambalo unaweza kulitumia unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500. Pia unaweza kuweka mipaka ya faida na hasara inayopatikana wakati wa kutumia chaguo hili.
Kama unapenda mchezo wenye spidi au kasi zaidi, unaweza kuwezesha chaguo la Haraka (Fast Spin) na chaguo la Kasi Kubwa (Turbo Spin). Unaweza kurekebisha viwango vya sauti kwenye kona ya chini kushoto.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Social Plugin