Msimu huu wa kiangazi ni mwezi wa maokoto kila ufanyalo Meridianbet linakupa pesa, ukiongeza salio unapewa bonasi, ukijisajili unapewa bonasi, na ukicheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ya Endorphina unajiweka kwenye nafasi ya kushinda mpaka 5,000,000/= pesa taslimu.
Promosheni hii itadumu mpaka Julai 31/2023 na itafanyika katika mtindo wa mashindano madogo madogo kwenye michezo iliyochaguliwa ya Endorphina, inayopatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
- 7 Bonus UP
- 2022 Hit Slot
- Chance Machine 5
- Chance Machine 20
- Chance Machine 40
- Chance Machine 100
- Joker Stoker
- Cyber Wolf
- Book of Santa
Wakati wa promosheni hii wachezaji watakaoshiriki ni wote wenye akaunti za Meridianbet, huku dau la chini kwa mzunguko mmoja wa kasino ya mtandaoni ni Tsh 5,00/=
Jumla ya zawadi kwenye shindano hili ni TZS 5,000,000 na itagawanywa kwa washindi 15, kama ifuatavyo:
Kanuni na Masharti ya Promosheni
· Dau la chini kubeti kwenye promosheni hii ni TZS 500.
· Zawadi zitatolewa kwa wachezaji 15 Bora, Mshindi wa kwanza atajishindia kitita cha TSZ 1,250,000!
· Kwa kujiunga na Meridianbet.co.tz, wateja watakuwa wamekubaliana na vigezo na masharti ya shindano.
· Meridianbet wana haki ya kusitisha au kubadili sheria za promosheni wakati wowote.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Social Plugin