Kila mtu hutamani kuwa bingwa kwa kila kitu anachofanya au anachotafuta. Lakini je wewe unayetumia Halopesa kufanya miamala kwenda Meridianbet umewahi kuwaza kujishindi zawadi yoyote?
Kama unataka kujishindia simu hiyo pamoja na kupata bonasi, weka pesa kwa kutumia Halopesa kwenda Meridianbet na ucheze michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni ikiwemo Wild Icy Fruits, Pia Premium na mingine kibao.
Pia una michezo mingi unayoweza kufurahia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Furahia michezo kama Piggy Party, Aviator, Poker, Roulette na mingine kibao.
Kumbuka kuwa kiasi unachotakiwa kuweka kwenye akaunti yako ni shilingi elfu 25000/= na kuendelea.
Promosheni hii ilianza mwezi huu Julai toka tarehe 1 ambapo itaenda hadi tarehe 15, mwezi huu na ambaye atacheza mara nyingi ndiye atakayepata nafasi ya kushinda Samsung A32 na Bonasi ya Kasino na Meridianbet.
NB Kadri unavyoweka pesa mara nyingi, ndivyo unavyopata nafasi nyingi za kushinda baadhi ya zawadi.
Meridianbet wanasema hivi, sio simu tu na bonasi bali kuna zawadi kibao zitakuja kupitia michezo yao mbalimbali ya mtandaoni ikiwemo Tv na zingine kibao.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Vigezo na Masharti ya promosheni hii,
- Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.
- Tiketi za ubashiri wa michezo, lazima ziwe na matokeo siku hiyo hiyo ya kuweka pesa ili kustahili kupata bonasi.
- Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.
- Kumbuka kuwa Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
- Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Hivyo mteja wa Meridianbet unaetumia mtandao wa HALOTEL hakikisha unasoma vizuri na kufata maelezo na masharti yote ya promosheni hii uwe na nafasi nzuri ya kuwa mshindi wa Samsung A32.
Social Plugin