Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TEMBELEA DUKA LA HALOTEL UJIPATIE ZAWADI KEMKEM MSIMU HUU WA SABASABA

Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde akiwa ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga 

****
Jipatie zawadi kemkem ukitembelea Duka la Halotel katika msimu huu wa Sabasaba 2023!! Ukihudumiwa katika duka la Halotel kuanzia Juni 30,2023 hadi Julai 30,2023 utapata Kuponi ambayo ukirudi mara nyingine tena na ukanunua vocha ya kuanzia 5,000 utapata nyongeza ya sh. 1,000/=! , Jipatie Ofa motomoto ikiwemo Laini, Vocha na Keyholder buree kwa kila mteja!! Pia utapata kifungua kinywa bureee!!!
Ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga mteja Sayida Daud Masanja akipata huduma ya kifungua kinywa bure kabisa leo Jumanne Julai 4,2023
Ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga mteja Sayida Daud Masanja akipata huduma ya kifungua kinywa bure kabisa leo Jumanne Julai 4,2023
Ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga mteja, Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde akipata huduma ya kifungua kinywa bure kabisa leo Jumanne Julai 4,2023
Ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, ndugu Kadama Malunde akipata huduma ya kifungua kinywa bure kabisa leo Jumanne Julai 4,2023
Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde akiwa ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga 
Huduma zikiendelea kutolewa ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga 
Huduma zikiendelea kutolewa ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga 
Huduma zikiendelea kutolewa ndani ya Duka la Halotel Mjini Shinyanga 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com