Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki dunia, leo Jumanne, Julai 18, 2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Jeshi Lugola, jijini Dar es Salaam.
Jecha ambaye jina lake lilipata umaarufu baada ya kufuta uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kisiwani Zanzibar.
Social Plugin