Mambo si shwari ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kutokana na mvutano ulio hadharani kati ya chama hicho na kada wake, Balozi Ali Abeid Karume.
Tayari CCM imetangaza kumfukuza uanachama na kumtaka arejeshe kadi za chama hicho, huku mwenyewe akijinadi kuwa bado ni mwanachama halali.
Kwa miezi kadhaa sasa, Balozi Karume amekuwa kwenye mvutano na chama chake, kutokana na kutoa kauli ambazo zinaonekana kutowafurahisha baadhi ya viongozi ndani ya chama hicho kikongwe nchini.
Social Plugin