Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jumamosi Julai 1,2023 kumefanyika Kampeni ya Kataa Uhalifu toa taarifa, Shinyanga Bila Uhalifu inawezekana iliyofanyika katika kata ya Ndala na Masekelo Manispaa ya Shinyanga ambayo imeanzishwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa uratibu wa Mwandishi wa Habari na Mshereheshaji Amos John maarufu MC Mzungu Mweusi.
KAMPENI YA KATAA UHALIFU TOA TAARIFA YATUA NDALA NA MASEKELO....DC SAMIZI AONYA SUNGUSUNGU KUGEUKA WAHALIFU
Kampeni hiyo imeenda sanjari na Bonanza la Michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, mbio za baiskeli kwa wanaume na wanawake ambapo pia kumefanyika zoezi la uchangiaji damu salama na utoaji elimu mbalimbali.
Katika hali ya kushangaza wakati mashindano ya mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ghafla upepo uliibuka na kuanza kuwafuata waendesha baiskeli.
Tazama Video hapa chini
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mbio za baiskeli kundi la wanaume zikiendelea ambapo mshindi wa kwanza alikuwa Malaika Leonard akifuatiwa na Kashinje Kapemba na Konda Ishudu
Mshindi wa kwanza Mbio za baiskeli kundi la wanaume Malaika Leonard
Mshindi wa tatu mbio za baiskeli kundi la wanaume Konda Ishudu akipokea zawadi ya pesa
Mshindi wa pili mbio za baiskeli kundi la wanaume Kashinje Kapemba akipokea zawadi ya pesa
Mshindi wa kwanza mbio za baiskeli kundi la wanaume Malaika Leonard akipokea zawadi ya pesa
Soma pia
Social Plugin