Multifire Roulette umetengenezwa kwa kumfikiria mdau wa roulette kwa kuongeza udambwi udambwi wa oddz za kuzidisha na michezo ya bonasi itakayo wafaa sana wachezaji wa roulette kwenye kasino bora duniani.
Mchezo huu unavutia na lazima utajikuta ukitamani kutabiri matokeo yanayofuata, huku ukiambatana na maandhari ya kwenye majumba ya kasino.
Sifa bora ya mchezo wa Multifire roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwezekano wake wa kutoa ushindi mkubwa kutegemeana na dau utakalo liweka kulingana na michezo mingine ya roulette.
Kwa kila mzunguko utakaocheza kuta tokea na odds za kuzidishia tofauti tofauti kukuruhusu kushinda viwango vikubwa vya pesa mpaka mara 500 ya dau uliloliweka.
Mchezo wa kipekee wa Multifire roulette wa kasino ya mtandaoni, unachezwa ukizingatia sheria za roultte ya Ulaya pamoja na bonasi zitakazo kupatia ushindi mkubwa. Kwa kila raundi ya mchezo namba tano(5) tofauti huchaguliwa na namba hizo huzidishwa kwa odds kati ya x50 mpaka x500 ya dau uliloliweka, hivyo ukibeti/kubashiri namba hio utegemee ushindi uliozidishwa kwa viwango hivyo.
Mchezo Wa Multifire Roulette Na Viwango Vya Kuzidisha Ushindi
Multifire roulette ya Meridianbet una vigezo kama vya kwenye roulette ya Ulaya, ambapo kuna meza yenye namba kuanzia 0 mpaka 36 zikiwa zimegawanywa kwenye vyumba vyekundu na vyeusi huku namba 0 pekee ikiwa kwenye chumba cha kijani.
Unaweza ukacheza aina tofauti za beti na kisha ukiweka tu beti yako, utabonyeza kwenye kitufe cha ‘spin'(zungusha) kisha utaona gurudumu la roulette likianza kuzunguka.
Muundo wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni wa kustaajabisha, kwanza meza ya mchezo huu ni kubwa na yenye nafasi ya kutosha kuhimili na kupokea beti zako zote.
Unaweza ukaweka beti zako pendwa na ukazipata muda utakaokufaa. Vile vile una fursa ya ku-cancel au kuseti upya beti yako. Aidha roulette hii inakupa uwezo wa kubetia kwenye namba 3(tatu) tofauti.
Jinsi ya Kucheza Multifire Roulette Na Kushinda kasino ya mtandaoni!
Mchezo huu wa roulette ni rahisi sana kucheza, chips za mchezo hupatikana chini ya screen yako na utazitumia kuweka beti zako. Bofya kwenye sarafu zilizopo katikati ya screen yako kuseti beti yako.
Pia unaweza ku-double beti yako kwa kubofya kitufe cha x2, aidha upo kitufe kimoja mbali kufuta dau lako kama hujavutiwa nalo ndio maana kuna kitufe cha ‘Clear’.
Multifire Roulette unafaa kuchezwa kwenye simu za mkononi, tablets na kompyuta. Mchezo huu wa roulette una sehemu ya demo ambayo itakuruhusu kucheza bure ili uweze kujifunza na kuuelewa mchezo kabla hujaanza kuweka pesa halisi.
Kiwango cha chini cha dau lako la kubetia kwenye roulette hii ni 250 mpaka 100,000. Jambo la kuvutia kuhusu roulette hii ni kwamba una muonekano wa uhalisia kuliko roulette yeyote ya kawaida.
Ukishaweka beti yako na kuanza kuzungusha kitufe cha ‘Spin’ utapelekwa kwenye screen nyingine ambapo utaona gurudumu la roulette likizunguka na chini yake utaona namba tano (5) za bahati zikiambatana na odds kabambe za kuzidishia.
Kutokana kwamba hii ni aina ya roulette ya Ulaya, malipo ya beti mnyooko ni 35 kwa 1, na kama hio beti yako ikambatana na odds za kuzidisha basi ushindi wako utakua mkubwa zaidi kwa x35.
Hali ya ushindi kwa wachezaji ndani ya roulette hii ya multifire ni 97.3%. Mchezo wa huu una sifa graphics/picha za kisinema na muneokano mzuri wa kimchezo. Kiasi cha kwamba mchezo huu umekuwa ukivutia mamia ya maelfu ya wadau wa kubeti.
Ufurahie mchezo huu wenye kukupa ushindi mkubwa na wa kushangaza kupitia www.meridianbet.co.tz
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili
Social Plugin