RAIS SAMIA AONGOZA MAGEUZI YA HAKI JINAI TANZANIA

Tume ya marekebisho ya mfumo wa haki jinai iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imebaini kuwa kuna udhaifu unaotendwa na Jeshi la Polisi la Tanzania na taasisi nyingine za haki jinai nchini katika kuheshimu watuhumiwa kwenye ukamataji, upelelezi, uendeshaji wa mashitaka, kuwapekua watuhumiwa wakati wanaingia magerezani na mambo mengine.


Rais Samia amesema Tanzania tukubali kuwa tuna udhaifu huo na amemuagiza Katibu Mkuu Kiongozi kuunda kamati ya kutekeleza mapendekezo mahsusi ya mageuzi ya haki jinai nchini yaliyotolewa na tume ya Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post