NJOO UJIFUNZE, UTUSIKILIZE, UONE KATIKA BANDA LA MADINI PAVILION
Wednesday, July 12, 2023
Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin