MBUNGE NG'WASI AGAWA PIKIPIKI KWA VIJANA MWANZA



MBUNGE wa Vijana Ng'wasi Damasi Kamani Julai 23, 2023, amekabidhi pikipiki kwa Wilaya zote 7 za Mkoa wa Mwanza ikiwa ni sehemu ya mradi kwa vijana kujiwezesha na kujiinua kiuchumi.

Mbunge Ng'wasi amefanya hivyo ikiwa ni kuunga mkono azma ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Mwanza kuwajengea uwezo vijana wa Mkoa huo kujiendeleza wenyewe badala ya kukaa mtaani bila kujishughulisha.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post