Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Eastern Africa Power Pool (EAPP) uliofanyika nchini Uganda tarehe 21 Julai 2023.
Katika mkutano huo kulijadiliwa mambo mbalimbali ikiwemo jambo muhimu zaidi la namna bora ya kusimamia biashara ya kuuza na kununua nishati ya umeme miongoni mwa nchi wanachama.
Naibu Waziri, Wakili Stephen Byabato akichangia mada katika Mkutano wa Mawaziri wa EAP.
Mawaziri kutoka Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Ethiopia, Burundi, Libya na Misri walioshiriki katika Mkutano huo wa EAPP.
Social Plugin